Are you driven by Web 2.0? Do you write a blog? Produce vidcasts? Host podcasts? Why not register your blog with us.
a view from dar es salaam
Africa: 955 | Tanzania: 22 | Visits: 639 | Page Views: 678 | Links (Blogs): 1836 | Links (Posts): 1836
Recently, I decided to stop this blog in June or July of this year. That would have been about one year of blogging. There were three main reasons for this. Firstly, it takes time. Believe me, summarising IMF reports or discussing the gini co-efficient in your second language is
Kaka Michu, nisiseme kuwa mimi ni mshabiki wa blogu yako. Lakini ukweli, nimeitembelea mara nyingi. Labda unajua kuwa nimeandika makala kuhusu blogu yako mara moja au mbili. Kama umesahau, bonyeza hapa. Mimi hutembelea kwako kwa sababu naona unavutia watu wengi sana duniani. Na kweli, nakupongeza kwa kazi yako
Rais Kikwete alitoa hotuba mbili mwezi uliopita. Kwanza, aliongea na Wazee wa Dar es Salaam, Diamond Jubilee Hall. Mwisho wa mwezi, tulisikia hotuba yake ya kufunga mwezi. Alivyosema Rais kwenye hotuba yake kwa wananchi kwa mwezi wa pili, ulikuwa “mwezi wa matukio makubwa ya kukumbukwa kwa
Mambo yanaendelea. Sasa, kwa url ya www.jamboforums.com, utafika kwa jambonetwork.com/jamboforums, lakini ‘not found’. Jambo Blog Network pia imerudi. Na bado wanaendelea kuiba makala za wanablogu na kuzitangaza kwa JBN. Nimeshalalimikia tabia hiyo. Hamna cha kusema tena.
Once again, Michuzi was first with the news. The popular discussion board, jamboforums, has apparently been closed down and two individuals arrested. Read more on KLH News here. According to that report, they have been arrested for libel. But as ever with jamboforums, separating truth from fiction is not
Leo mchana, sote tulisikiliza redio kusikia Rais kutangaza Baraza mpya. “Nani atabaki?” “Nani atafukuzwa?”. Basi, ilitangazwa. Maswali tena. “Unamwonaje Mkulo?” “Jamani Andrew Chenge alikuwa Mwanasheria Mkuu wakati wa IPTL, si ndiyo?!” Leo jioni, nilianza kusoma By the Sea, kitabu kimechoandikwa na Abdulrazak Gurnah. Niliguswa na yafuatayo….. The upper air
Je, umeshasoma ripoti ya Mwakyembe? Si unajua jinsi viongozi walivyokula? Dakika arobaini zilizopita, wabunge walikubali uteuzi wa Mizengo Pinda, Mbunge wa Mpanda Mashariki, kama Waziri Mkuu. Walimsifia. Walimpa moyo. Aliwashukuruu. Sitta alifunga kikao kwa mtindo wake. Lakini kumbe, alipewa karatasi kutoka kwa mmoja wao. Mbunge huyo alikuwa na swali…..
Tumefaidi vizuri jana. Tuliwawajibisha kwa kweli. Soma zaidi hapa. Lakini kwa sababu mbalimbali, ilibidi nikae upande wa Simba. Ni ngumu kunyamaza…..
“Utawala bora unalipa.” Haya ndiyo maneno ya Bw. Bertie Ahern, Waziri Mkuu wa Ireland, kwenye hotuba yake kwa wananchi wa Ireland ambao wanaishi hapa Tanzania. Soma hotuba nzima kwa kubonyeza hapa. Pia, kwenye hotuba hiyo aliwasimulia wageni kuhusu mkutano wake na Rais Kikwete. I commended the President
Yafuatayo ni matokeo kutoka kwenye Centre for Global Development. Utafiti huu, wa Michael Clemens na Gunilla Pettersson, ulihusiana uhamaji wa madaktari na manesi kutoka Afrika. Matokeo ni ya mwaka 2000 kwa sababu utafiti huo ulilinganisha matokeo ya sensa za nchi mbalimbali. Idadi ya madaktari Tanzania
« previous 1 next »