Are you driven by Web 2.0? Do you write a blog? Produce vidcasts? Host podcasts? Why not register your blog with us.
HabariTanzania.com: Tanzania news and information for a global audience.
Africa: 1164 | Tanzania: 21 | Visits: 2213 | Page Views: 2213 | Links (Blogs): 715 | Links (Posts): 696
KAMPENI za kuwania kiti cha urais wa Marekani katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, zimepata sura mpya, baada ya mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo kutishiwa kuuawa.
BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alikuwa mtu mwenye kanuni ya kujikosoa. Nadhani ni kanuni hiyo iliyomfanya afe akiwa kipenzi cha wote wakiwamo hata wale ambao kwa namna moja au nyingine walibanwa na wadhifa wake.
TUHUMA za ufisadi ambazo zimesambazwa katika mtandao wa intaneti zikihusu utendaji kazi wa viongozi wakuu ndani ya Benki ya Posta (TPB) na wale wa Wizara ya Fedha, zimeanza kuivuruga benki hiyo.
KAMATI Teule ya Bunge iliyochunguza mchakato wa upatikanaji wa zabuni ya uzalishaji umeme wa dharura, iliyopewa Kampuni ya Richmond Development LLC, ya Hauston Marekani, imemtaja Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuwa alihusika kuibeba kampuni hiyo kupata zabuni hiyo.
MAZUNGUMZO ya kusaka muafaka wa kisiasa visiwani Zanzibar, baina ya Chama Cha Mapinzuzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) yanakaribia kufikia mwisho, Rais Jakaya Kikwete amesema.
WASOMI wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kusimamia kwa ukali na umakini mkubwa ili kuhakikisha watu walioshiriki katika ufisadi uliokithiri katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanarudisha fedha zote zilizoibwa na wahusika kuchukuliwa hatua.
WAKATI Watanzania wakitafakari hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), Dk. Daudi Balali kutokana na kashfa ya akaunti ya malipo ya madeni ya nje (EPA), muasisi wa tuhuma zilizosababisha uchunguzi wa akaunti hiyo, Dk. Willibrod Slaa, ameibuka na siri nyingine kuhusu tuhuma za
UJUMBE wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha Kenya, jana ulinguruma jijini Dar es Salaam na kusema kuwa wanaodhani kuwa wanaweza kushiriki kwenye serikali ya umoja wa kitaifa iliyopendekezwa na Rais Mwai Kibaki wanajidanganya.
RAIS Jakaya Kikwete, amewataka waandishi wa habari kote nchini, kutokatishwa tamaa au kuogopa vitisho vinavyoelekezwa dhidi yao na badala yake waendelee kutimiza wajibu wao wa kazi kwa kuchukua tahadhari za kutosha.
« previous 1 next »