Edo Ndaki

Please log in to follow this blog in MyGator

Blog description:

Edo Ndaki

Edo Ndaki writes a lot about:

Life   Business   Tech  

Edo Ndaki is ranked:

Africa: 2263   |   Tanzania: 53   |   Visits: 2143   |   Page Views: 2143   |   Links (Blogs): 2114   |   Links (Posts): 2114

Edo Ndaki's posts from Tanzania

Expand / CollapseExpand / Collapse

CHADEMA WASHINDA UCHAGUZI WA TARIME


(Bendera ya CHADEMA)Katika kile kilichoonyesha hali ya kukatishwa tamaa na Chama Cha Mapinduzi na sera za kukumbatia Ufisadi.Wananchi wa Tarime wameachagua kwa mare nyingine kukinyima kura Chama Cha Mapinduzi licha ya kugawa takrima za kofia,kangha,fulana,pesa n.k.Wananchi wa Tarime wamewachagua wagombea nafasi ya Ubunge na Udiwani wote kutipitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kuacha CCM na vyma vingine vikiambulia Patupu.Uchaguzi huo umekuja baada ya kifo cha aliyekuwa ....

Read the full story.


MAJAMBAZI YAVUNJA KANISA, YALA SAKRAMENTI


Hakika ukistajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Majambazi nane wamevamia na kuvunja kanisa la Hija la Bikira Maria la Mwanjelwa Mbeya na kuiba Sadaka,kompyuta,pesa na kisha kula sakramenti takatifu. Kana kwamba hiyo haitoshi pia waliingia katika kituo cha kulea watoto yatima na kuibia pia.Watu nane wanashilikiwa kutokana na tukio hilo. Habari zaidi bofya HAPA. Hivi wazalendo tunaenda wapi sasa?Yaani watu wanavamia hadi nyumba za ....

Read the full story.


WATOTO 19 WAFARIKI DISKO TABORA


(Picha kutoka blog ya DA CHEMI)Watoto 19 wamefariki dunia baada ya kutokea mkanyagano kwenye ukumbi wa Disco ....

Read the full story.


AUAWA KISHA ACHUNWA NGOZI BONGO


Huku watu wakiwa bado wapo roho juu kuhusu mauaji dhidi ya jamii ya watu wenye ulemavu wa ngonzi(albino) kutokana na imani za kishirikina.Tukio jingine limetoa mwezi huu huko Shinyanga, bw Lifa Dogani ameuawa kisha kuchunwa ngozi.Sababu ya wauaji kutekeleza zoezi ilo ni lengo la kujipatia ngozi ya binadamu na kwenye kuiuza kwa wafanyabiashara ya madini alamasi,Mwadui.Wahusika wote wa tukio wanashikiliwa na polisi.Nakumbuka tabia ya uchunaji ngozi ilianza na kupotea.Sasa ....

Read the full story.


MSIBA WA TAIFA..BENDERA NUSU MLINGOTI


Leo bendera zime pepea nusu mlingo katika kuombolezaBaada ya mwanafunzi Matti Juhani Saari(22) kuwauwa wenzake kumi kwa bastola kisha na yeye kujipiga kichwa na kupoteza maisha yake masaa machache baada ya kufikishwa ktk hospitali ya hapa TAMPERE.Mauaji yametokea katika shule ya Ufundi ya Kauhajoki (bongo VETA).SERIKALI imetangaza kuwa leo ni siku ya maombolezo na bendera zote zinapepea nusu mlingoti.Pia waziri mkuu ametoa tamko kutokana na mauaji haya,itapelekwa hoja ....

Read the full story.


BREAK NEWS: WANAFUNZI 'TISA' WAULIWA KWA RISASI


(Magari ya usalama yaliyowasili punde kukabiliana na muuaji) ....

Read the full story.


HONGERA ISSA MICHUZI na BINTI MACHOZI


(picha kutoka kwa Abdallah Mrisho)Natumia nafasi hii kumpongeza mzee wa Libeneke Issa Michuzi pamoja na Judith Wambura kwa kuteuliwa kuwa balozi wa kampuni ya simu ya kiganjani Zain.Ni habari njema hasa kwa sisi wadau wa blog kuona mchango wa uhabarishaji mtandaoni unazidi kukua nyumbani na kuthaminiwa.Michuzi ameteuliwa kuwa balozi wa Zain kwa kuwa ni mzee wa 'libeneke mtandaoni' na Jay Dee akiwa ni msanii ambaye kwa takribani miaka ....

Read the full story.


+ next