Michuzi

Please log in to follow this blog in MyGator

Blog description:

photo blog

Michuzi writes a lot about:

Life   Business   Entertainment  

Michuzi is ranked:

Africa: 887   |   Tanzania: 20   |   Visits: 2109   |   Page Views: 2109   |   Links (Blogs): 97   |   Links (Posts): 44

Michuzi's posts from Tanzania

Expand / CollapseExpand / Collapse

kp leo


kp leo


uchunguzi wa ushirikina bungeni


Jeshi la Polisi limetoa ripoti yake kuhusu uchunguzi wa kile kilichodaiwa vitendo vya kishirikina Bungeni karibu mwezi mmoja uliopita ambapo ilidaiwa mmojawapo wa wabunge alionekana akimwaga unga kwenye viti mbalimbali.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma amesema kuwa (kati ya niliyoyanasa kwa haraka)a. Hakuna Kamera iliyozimwa kuanzia mwaka 2006 (don't ask me walisema zilikuwa zimezimwa)b. Kwenye mkanda uliodaiwa hakuna mtu aliyeonekana akifanya jambo lolote lile (mkanda mtupu?)c. Vumbi lililoenda ....

Read the full story.


h-taun kuna mambo julai 25


"East Africa Summer nite!" Ile 'party' inayosubiriwa kwa hamu na East Africans waishio Houston Tx is around Tha corner, bila kusahau Mr. East African In H-town(handsome) atatafutwa siku hiyo, na pia 'couple'ambayo itapendeza zaidi watajipatia zawadi nono (surprise) Date: 25th July Venue: Brenda hall 3720 Westpark n' Gesner (Behind Valero gas station) Time: 9pm til dawn Cover: $ 10 Gents, $5 Ladies ($ 3 u call it a drink!) ....

Read the full story.


BREKING NYUUUUUZZZZZZZZZ


KIONGOZI WA ZAMANI WA BENDI YA BRASI YA POLISI MZEE JOHN DOTTO MAYAGILO AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN ALIKOKUWA AMELAZWA. KWA MUJIBU WA FAMILIA YA MAREHEMU, MSIBA UKO NYUMBANI KWA HAYATI MAYAGILO KURASINI, DAR, AMBAPO MIPANGO YA KUUSAFIRISHA MWILI WAKE KUELEKEA KIJIJINI KWAKE TINDE, SHINYANGA.SAFARI YA KUELEKEA HUKO INATARAJIWA KUANZA KSEHO ALFAJIRI. ....

Read the full story.


kutana na katunisti william garani


leo nimebahatika kutembelewa na mdau ambaye ni mchora katuni maarfuru wa magazeti ya busniess times na majira anayekwenda kwa jina la william garani. anasema hivi sasa anamalizia kutengeneza globu yake ya katuni ambayo itakuwa hewani muda si mrefu ujao. kwa leo anatuonjesha hizi chache akisema na tukae mkao wa kula ....

Read the full story.


mkutano wa agoa washington DC


kwa wale wote wanaopenda kushiriki mkutano wa Agoa utaofanyika Washington DC july 14th to 16th 2008, usiache nyuma kitambulisho chako !! Baadhi ya mawaziri na wafanya biashara kutoka Tanzania watakuwepo ni wakati muafaka wa kukutana na wenzetu wanaofanya shughuli mbali mbali toka Nyumbani Tanzania,na kubadilishana mawazo ....

Read the full story.


+ next