full shangwe
Full Shangwe ranks 62 in Africa and 2 in Tanzania. According to site visitors it ranks 64, and 89 according to page views:
According to blogroll links it ranks 319 and 236 according to the amount of links within Afrigator blog posts
Tarehe 13 mwezi February tamasha la zinduka litafanyika katika viwanja vya Leaders’ Club jijini Dar es salaam na mgeni rasmi atakuwa mheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho kikwete akiongoza kampeni ya Malaria Haikubaliki: Tushirikiane Kuitokomeza, kauli inayowataka watanzania kujikinga wao na familia zao dhidi ya malaria.Baadhi ya wasanii walio
Daktari wa Michael Jackson, Conrad Murray alifikishwa katika mahakama mjini Los Angeles na kushtakiwa kwa kusababisha kifo cha mwanamuziki huyo miezi saba iliyopita.Murray alikuwa ameajiriwa kumsaidia Michael Jackson kujiandaa kwa tamasha kadhaa mjini London na inaaminiwa kuwa alikuwa mtu wa mwisho kumwona mwanamuziki huyo akiwa hai.Inadaiwa kuwa daktari Murray
Aliyekuwa rais wa Marekani Jimmy Carter amewasili nchini Sudan kwa mashauriano na rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashir na maafisa wengine wakuu serikalini.Carter anatarajiwa kuelezea wasi wasi wake kuhusu uchaguzi mkuu nchini humo unaopangwa kufanywa mwezi Aprili.Bwana Carter pia anatarajiwa kushauriana na maafisa wa tume ya uchaguzi nchini humo.
In a glittering fashion event held this weekend (Saturday February 6, 2010) in Lagos, Nigeria and screened live across the continent, Zambia’s Lukando Nalungwe was named the.
David Bekham.David Beckham has promised he will not celebrate if he scores against Manchester United.After 394 appearances for the club, the England midfielder believes it would be inappropriate behaviour should he find the net for AC Milan. United face the Italians in the UEFA Champions League at the
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la aliyekuwa mnikulu Bwana Rajabu Kianda aliyefariki jana jijini Dar es Salaam.Marehemu Kianda anatarajiwa kuzikwa kesho(tarehe 9/2/2010) nyumbani kwao Kihurio Same Mkoa wa Kilimanjaro. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bi.Khadija Kianda ambaye ni mjane wa Marehemu Rajabu
Kundi la muziki wa Asili la Joel Sebunjo na Sundiata kutoka nchini Uganda lilifanya vitu vyake jukwaani kwenye ukumbi wa kituo cha utamaduni cha watu wa Urusi mwishoni mwa wiki iliyopita onyesho hilo lilikuwa limeandaliwa na taasisi ya Goethe Institute ya jijini Dar es asalaam, kundi hilo pia linatarajiwa
Daladala aina ya Toyota DCM liliogonga kichwa cha Treni maeneo ya Tandika Relini na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye inadaiwa kuwa ni dereva na kujeruhi wengine 26 waliokimbizwa hospitali ya Temeke kwa matibabu hata hivyo wagonjwa 5 kati ya hao walikimbizwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa
Uchaguzi wa gavana wa jimbo la Anambra,Nigeria umekosolewa huku kukiwa na madai ya rushwa,uwizi wa masanduku ya kura na makosa katika daftari la wapiga kura.Peter Obi alichaguliwa tena lakini ni watu 300,000 pekee walopiga kura kati ya watu milioni 1.8 waliosajiliwa kama wapiga kura.Katika kituo kimoja kundi la vijana
Not following anyone at the moment.