Viongozi wa umoja wa nchi za kusini mwa Afrika SADC walikutana katika kikao cha dharura jijini Mbabane Swaziland kujadili hali tete iliyojitokeza katika nchi ya Madagascar na kupelekea kuondolewa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw Marc Ravalomanana. Bw Ravalomanana anadai kuwa Katiba ya nchi hiyo haikufuatwa na Rais aliyepo
Mheshimiwa Andrew Chenge Mbunge wa Bariadi Mashariki jana alipata ajali mbaya iliyohusisha gari lake na Bajaji iliyokuwa imebeba abiria wawili. Katika ajali hiyo abiria waliokuwa kwenye Bajaji walipoteza maisha yao. Chenge alijisalimisha baadae kituo cha polisi Oysterbay na yuko nje kwa dhamana. Pole sana Bwana Chenge na poleni wafiwa ajali
Mawazo ya Mwalimu Nyerere ni matokeo ya kile ambacho Profesa Ali Mazrui anakiita "Africa- A triple Heritage", yaani urithi wa Afrika kutoka sehemu Tatu sehemu hizi ni Afrika asilia, Asia Arabuni na Uropa- Amerika. Hivyo basi ni sahihi kabisa kusema kuwa Mwalimu alichanganya madesa yote matatu ndio maana kile
Good morning , ladies and gentlemen. This is your captain FUTAKAMBA speaking.On behalf of Air Tanzania Ltd and our crew, I 'm welcoming both seated and standing passengers on board of Air Tanzania Boing 737We are apologising for the six hour delay in taking off, it was due to
Moto mkubwa ulioanzia katika hoteli ya Paradise Bagamoyo umeziteketeza pia hoteli nyingine ambayo ni Oceanic Beach Resort. Hoteli ya Paradise imeteketea kabisa hakuna kitu mpaka magari. Sasa tujiulize hawa watu wanakula na kuiba pesa lakini hata huduma ya Zimamotokwenye mahalmashauri/wilaya/mikoani sidhani kama ipo hai tena au
Kuna habari za kusikitisha kuwa yule gwiji na msomi mwenye imani ya Kirastafari . Prof. Joshua Mkhululi amefariki dunia tarehe 18/03/2009. Ikumbukwe kuwa Profesa huyu aliamua kurudi Afrika na kuja kuishi katika nchi yake ya ahadi kutoka uhamishoni kulikosababishwa na utumwa. Alihamia nchini mwaka 1976 alikuwa mstari wa mbele kupinga
Rais alirejea jana akitokea Uingereza katika kikao kilichohusisha mataifa yaliyoyendelea kiuchumi juu ya mustakabali wa kuporomoka kwa uchumi kwa nchi Tajiri duniani na namna ya kukabiliana nayo. Pichani akilakiwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
KAMA NI KWELI ATAKUTANA NA AL -ADAWI?Vyanzo vya habari vinasema kuwa, Rais Kikwete na ujumbe wake wako Dubai wakiwa njiani kurudi nyumbani kutoka mkutano wake na Waziri Mkuu wa Uingereza huko London siku chache zilizopita. Vyanzo
President Kikwete of Tanzania with the Director of IMF Dominique Strauss Kahn and former UN Secretary Koffi Annan after Global economic crisis in the developed world and its impact to the developing world- conference. The conference was held in Tanzania recently.Martin HutchinsonU.S Treasury Secretary Tim Geithner called last week
Pope says humanity needs 'saving' from homosexualityThe Pope has said that " saving " humanity from homosexual behaviour is just as important as saving the rainforestsPope Benedict XVI sparked a furious reaction form other Christian groups as he also suggested that a blurring of the distinction between male and female
Not following anyone at the moment.